69. Imani huchukua miaka mingi kuijenga lakini sekunde chache kuibomoa.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

kumwamini mtu inachukua muda mrefu lakini iman hiyo inaweza kuvunjika haraka ka ma mtu huyo ata-misbehave.. kwa mfano, girlfriend wako wa miaka mingi anaweza kutokukuamini tena endapo atagumdua umetembea kimapenzi na mwanamke mwingine. Ukifanya hivyo (kutembea na mwanamke mwingine na akajua) atachukua muda mchache sana kutokukuamini kuliko muda aliochukua kujenga imani kwako! I like the post!
ReplyDeleteKujenga uaminifu sio kazi rahsi lkn kuubomoa ni kazi rahsi
ReplyDelete