Monday, 6 January 2014

Mdanganyifu

66. Mdanganyifu hudanganya wanaopenda kudanganywa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Mtu yoyote anayedanganya ni Shetani, kwani Shetani ni baba wa uongo. Tusikubali kudanganywa ovyo, hasa watoto wetu, katika kipindi hiki cha utandawazi na teknolojia.

    ReplyDelete
  2. Usisikilize uongo, usiangalie uongo, usizungumze uongo.

    ReplyDelete
  3. shetani ni muongo kuliko watu wote ulimwenhuni tuwe sana makini na ibilisi.,

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...