Thursday, 2 January 2014

MKS

Siku sita zimebaki kufikia jibu la Kitendawili cha Kolonia Santita (k.k.k Msimbo wa Kolonia Santita, MKS). Tuma jibu lako kupitia enockmaregesi@yahoo.com; kujishindia pesa tasilimu shilingi milioni moja kutoka TAKWE AMAZING COMPLEX LIMITED, wadhamini wa Kitendawili cha Kolonia Santita.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Jibu la Kitendawili cha Kolonia Santita litatangazwa mnamo tarehe 8/1/2014, saa 8:00 mchana juu ya alama. Mshindi wa Kitendawili cha Kolonia Santita atatangazwa nusu saa baada ya hapo, saa 8:30 mchana juu ya alama. Kitendawili cha Kolonia Santita ndicho kitu pekee kinachokitofautisha kitabu cha KOLONIA SANTITA na vitabu vingine vyote vya riwaya duniani. KKS ni alama ya KOLONIA SANTITA.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...