Uwanja wa Ndege
Copenhagen-Roskilde,
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa la Roskilde, sawa na Kanisa la Westminster Abbey la London, katika makaburi ya wafalme na Wadenishi maarufu.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...
-
120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu. http://www.enockmaregesi.wordpress.com
-
157. Kuzaliwa ni heshima kubwa tulivyopewa sisi wanadamu. Tafuta nafasi katika nchi yako, kuacha alama katika dunia. http://www.facebook...
Uwanja wa Ndege wa Roskilde: ulitumiwa na ndege za Kolonia Santita na Tume ya Dunia kwa wakati mmoja (Gulfstream Grumman) kuingia na kutoka katika Jiji la Copenhagen. Vijana wa Tume – baada ya kubomoa kambi za Kolonia Santita za Saltholm na Smallegade za Copenhagen kwa usiku mmoja – waliondoka wote kupitia Roskilde kuelekea Meksiko: kusimamisha usafirishaji wa tani mia sita za madawa ya kulevya na kilo moja ya malighafi ya nyukilia, kubomoa meli na nyambizi za Kolonia Santita, na kumbomoa adui na majeshi yake yote. Hapo kuna taharuki ('cliffhanger') kubwa kuliko zote katika kitabu cha KOLONIA SANTITA.
ReplyDelete