Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Oslo, Norwe, Skandinavia.
John Murphy alipopata taarifa kwa mara ya kwanza kuhusu ajali ya Air France 279 akiwa njiani kuelekea Copenhagen.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Baada ya kutekwa Smolenskaya na magaidi wa Kolonia Santita, John Murphy alipelekwa Yugo Zapadnaya karibu na Chuo Kikuu cha Lumumba ambako aliteswa lakini Mungu akamsaidia akajinasua na kusafiri tena mpaka Oslo nchini Norwe. Nchini Norwe John Murphy hakukaa sana. Ndege yake ilipokuwa tayari – SAS – alisafiri tena mpaka Copenhagen ambapo alichukua teksi na kumwomba dereva ampeleke Sophie Amalie Hotel – badala ya Astoria, aliyokuwa ametayarishiwa na Tume ya Dunia, Kolonia Santita walipokuwa wakimsubiri.
ReplyDeleteJohn Murphy kama stering wa hadithi ya kolonia santita aliangaika sana (zaidi) kuliko wenzake wote wa operation DC na ndio mana si tu shujaa wa Kolonia santita ni shujaa wangu pia ktk mambo ya hadithi.
ReplyDelete