Tujifunze kuupenda utamaduni wetu kwa usumbufu wa vizazi vijavyo … Kiswahili kinapotea!
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu. http://www.enockmaregesi.wordpress.com

‘Kolonia Santita’ ni kitabu cha Kiswahili. Si Kingereza wala Kihispania. Lazima tujifunze kuipenda na kuitetea lugha yetu kwa usumbufu wa vizazi vijavyo. Kwa nini, kwa mfano, tuseme aka na si kak, pak, knk, pnk, kik, pik, kkk, pkk, kwk, pwk, kvk au pvk?
ReplyDeleteaka – ‘also known as’
kak – ‘kadhalika akijulikana kama’
pak – ‘pia akijulikana kama’
knk – ‘kadhalika nikijulikana kama’
pnk – ‘pia nikijulikana kama’
kik – ‘kadhalika ikijulikana kama’
pik – ‘pia ikijulikana kama’
kkk – ‘kadhalika kikijulikana kama’
pkk – ‘pia kikijulikana kama’
kwk – ‘kadhalika wakijulikana kama’
pwk – ‘pia wakijulikana kama’
kvk – ‘kadhalika vikijulikana kama’
pvk – ‘pia vikijulikana kama’.