40. Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.
Huu ndiyo mwisho wa sehemu ya kwanza ya Falsafa za Kolonia Santita. Kuanzia Jumatatu ijayo – kila Jumatatu bila kukosa kwa miezi sita mfululizo – nitakuwa naweka misemo, mmojammoja, hapa Blogger na Wordpress itakayoitwa Falsafa za Enock Maregesi. Usikose Kitendawili cha Kolonia Santita leo saa 8:00 mchana kwa saa za Afrika Mashariki. Huu ni msemo wa arobaini katika tovuti za Blogger, Wordpress na Facebook; na wa sabini katika tovuti ya Goodreads. Falsafa za Kolonia Santita (sehemu ya kwanza na ya pili) zitaendelea mpaka kufikia mia moja na hamsini.
www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
134. Kila mtu kabla ya kuzaliwa alipewa na Mwenyezi Mungu unabii na nyota ya ufalme. Una bahari ya fursa ya kuwa kitu chochote unachotaka ...
Zawadi bora ya maisha kwa mwanadamu si fursa ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa kitu fulani katika jamii. Ni amani ya Mungu katika moyo wa mwanadamu.
ReplyDeleteAmani ni paradiso ya duniani.
ReplyDeleteAmani ya Mungu lazima itawale hapa duniani, la sivyo.....
ReplyDeleteHongera kwa kumaliza sehemu ya kwanza ya Falsafa za Kolonia Santita,ni matumaini yangu hata falsafa za Enock Maregesi zitamalizika vizuri. God bless.
ReplyDeleteAsante, Melissa.
Delete