Thursday, 25 April 2013

Amsterdam

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Schiphol-Amsterdam
Ndege ya John Murphy (Air France) ilipopandikizwa bomu ikiwa njiani

kulekea Copenhagen.

http//www.enockmaregesi.com

2 comments:

  1. Prideux – Roger Prideux – jambazi wa kimataifa wa Kolonia Santita wa St Germain, Paris, Ufaransa; alipewa jukumu la kupeleka bomu lililokuwa na nusu kilo ya baruti na saa ndogo ya 'biometric timer' ndani ya redio ya Toshiba Amsterdam katika uwanja wa Schiphol – sawa na lile lililoangusha ndege ya Pan Am huko Lockerbie, Uingereza mwaka 1988 na kuua watu wote – halafu pia akasafiri na ndege hiyo pamoja na 'Murphy' mpaka Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa; ambapo alishuka na kuacha ndege ya Murphy ikilipuka vibaya futi 31,000 (maili 5) juu ya usawa wa bahari katika anga la Uholanzi/Ujerumani saa 4:42 asubuhi.

    ReplyDelete
  2. Alichokifanya Prideux kisingeweza kuvumiliwa hata kidogo. It's fiction, but hata mimi niliumia - watu zaidi ya 200 waliuwawa kwenye ajali hiyo ya ndege iliyosababishwa na psycho Roger Prideux!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...