Monday, 29 April 2013

Kujamiiana

30. Kujamiiana si anasa tena katika maisha yangu. Ni hitaji muhimu kwa ujenzi wa familia.

http//www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Murphy akitoa 'wosia-tata' kwa mpenzi wake Sophia, muda mchache kabla ya kupanda ndege kuelekea Copenhagen. Kauli hiyo inatengeneza 'foreshadowing' kubwa kuliko zote katika kitabu cha Kolonia Santita.

    ReplyDelete
  2. Sex to me isn't luxury any more. It's necessity of reproduction!

    ReplyDelete
  3. Si Sophia tu hata mimi sikumwelewa Murphy, hiyo ni foreshadowing nzuri sana kwani Sophia na sisi wengine wote tulielewa kwa nini Murphy alisema hivyo mwishoni mwa kitabu.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...