30. Kujamiiana si anasa tena katika maisha yangu. Ni hitaji muhimu kwa ujenzi wa familia.
http//www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Heroini, Heroini safi isiyokuwa na doa. Biashara kuu ya pili ya Kolonia Santita baada ya kokeini, iliyomfanya Panthera Tigrisi awe taji...

Murphy akitoa 'wosia-tata' kwa mpenzi wake Sophia, muda mchache kabla ya kupanda ndege kuelekea Copenhagen. Kauli hiyo inatengeneza 'foreshadowing' kubwa kuliko zote katika kitabu cha Kolonia Santita.
ReplyDeleteSex to me isn't luxury any more. It's necessity of reproduction!
ReplyDeleteSi Sophia tu hata mimi sikumwelewa Murphy, hiyo ni foreshadowing nzuri sana kwani Sophia na sisi wengine wote tulielewa kwa nini Murphy alisema hivyo mwishoni mwa kitabu.
ReplyDelete