12. Nimebadili utaratibu wangu siku hizi kutokana na maadili ya watoto wetu. Siongei na watoto wangu kuhusu Mungu. Naongea na Mungu kuhusu watoto wangu. Yesu alilipa gharama ya maisha yake kutununua kutoka kwa Shetani. Tumrudie; hususan katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu. http://www.enockmaregesi.wordpress.com

Let's escape the tragedies of the moment through the vehicle of prayer.
ReplyDeleteQuote nzuri. Maadili kwa kweli yameporomoka, nalikubali hilo Maregesi; sio kwa watoto wetu tu, hata kwa sisi watu wazima.
ReplyDeleteAsante Barnabas Hosea kwa maoni yako mazuri.
DeleteHiyo ni quote nzuri sana. Lakini ningeshauri uongee na watoto pia sio Mungu peke yake, kwani hali sio nzuri sana kimaadili.
ReplyDeleteDada Rose nimekupata hapo. Tunahitaji nguvu ya Mungu zaidi kuwarekebisha watoto wetu.
Delete