13. Katika jiji la Dar watu hawaendi kazini. Wanakwenda vitani. Wania kilicho chako ukidhulumiwa. Utajiri humpendelea anayejaribu.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Kiongozi wa ‘Wakombozi’ akitoa wosia kwa genge lake la madawa ya kulevya. Wania maana yake ni shindana. Shindana na kitu au mtu aliyekudhulumu kupata haki yako kwa njia za kidiplomasia.
ReplyDeleteNakubaliana na hilo....! Utajiri haupendelei watu wanaochukulia vitu for granted!
ReplyDeleteNchi zilizoendelea kwa mfano, haki ya mtu haiwezi kudhulumiwa halafu watu wakakaa kimya ... Wataitafuta hata kwa sheria. Ukifuja pesa ya serikali halafu ukashindwa kutoa maelezo mwafaka ya matumizi ya pesa hiyo, wananchi watatumia nguvu zao zote kuhakikisha unarudisha pesa yao (waliyofanya kazi kwa bidii kubwa kuitafuta); na ukishindwa utawajibika na pesa hiyo katika vyombo vya sheria.
ReplyDelete