Monday, 26 November 2012

WODEC-Intelligence

8. Mojawapo ya misingi ya ujasusi ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya unachojua, usichojua na unachofikiria. Unaweza kusema unajua wakati hujui. Maamuzi yasiyo sahihi ya kijasusi huweza kuiletea tume madhara makubwa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Mkurugenzi wa WODEC-Intelligence akitoa wosia kwa Vijana wa Tume.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...