Monday, 19 November 2012

Afrika

7. Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. John Murphy akilisikitikia bara la Afrika baada ya mkutano na Profesa Mafuru.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...