Monday, 12 November 2012

Las Vegas

6. Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika maisha, fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa hubakia hapa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Murphy aliambiwa (na Panthera Tigrisi) afumbe macho kwa kuyakodoa, yeye akafumbua macho kwa kuyakodoa. Fikiria nini kilitokea baada ya hapo.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...