8. Mojawapo ya misingi ya ujasusi ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya unachojua, usichojua na unachofikiria. Unaweza kusema unajua wakati hujui. Maamuzi yasiyo sahihi ya kijasusi huweza kuiletea tume madhara makubwa.
http://www.facebook.com/koloniasantita

Mkurugenzi wa WODEC-Intelligence akitoa wosia kwa Vijana wa Tume.
ReplyDelete