Thursday, 19 October 2017

Manukato Kutoka Ufaransa

Manukato kutoka Ufaransa aliyotumia Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego katika chumba chake cha kifahari katika Ikulu ya Meksiko ya Los Pinos, Paloma Picasso, Mpelelezi wa Tume ya Dunia John Murphy Ambilikile alipomtembelea, baada ya kutoka katika Jangwa la Simba la Desierto de Los Leones la Mexico City pamoja naye, ni manukato kwa ajili ya wanawake makini duniani kote.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...