245. Mahakama ya umaskini ni mazingaombwe yanayofanyika katika ulimwengu wa roho kwa sababu, hatuna sheria ya uchawi wala maono. Hata hivyo, hakuna mahakama kama mahakama ya mbinguni.
Mahakama ya umaskini ni uchawi. Uchawi ni mazingaombwe yanayofanyika katika ulimwengu wa roho. Haki haitapatikana gizani, itapatikana nuruni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Haki inayopatikana katika mahakama ya umaskini ni batili.
ReplyDeleteHaki hushinda batili.
ReplyDelete