Friday, 15 September 2017

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kastrup

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kastrup-Copenhagen ambao ni mkubwa kuliko vyote katika nchi za Skandinavia, na mkongwe kuliko vyote katika bara la Ulaya.

Hapo ndipo wapelelezi wa Tume ya Dunia Radia Hosni na Daniel Yehuda kutoka Tunisia na Israeli kwa mfuatano huo walipopitia.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...