Saturday, 26 August 2017

Kofia ya Taa ya Baccarat

Kofia ya Taa ya Baccarat ya Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, iliyoagizwa kutoka Ufaransa, iliyomshangaza Mpelelezi wa Tume ya Dunia Kamanda John Murphy Ambilikile kutoka Tanzania, baada tu ya kuingia katika chumba cha kifahari cha Debbie, Ikulu ya Los Pinos, Mexico City. Bei halisi ya Shandalia ya Baccarat ya Debbie ni zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni arobaini.

Shandalia za Baccarat za chumba cha kulala cha Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego; zilizoagizwa kutoka nchini Ufaransa kwa ikibali ya Debbie mwenyewe; zilikuwa za dhahabu na angavu kama kioo, zilizoning’inia katika dari za vyumba vya chumba cha kulala cha Nyumba ya Debbie.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...