Friday 21 July 2017

Jaguar XJS

Jaguar XJS ya mpelelezi maarufu wa Tume ya Dunia Frederik Mogens, gari la kifahari lililotumiwa na Mogens ‘kumteka’ nyara Radia Hosni, lililotumiwa na Vijana wa Tume kuteketeza makao makuu ya Kolonia Santita ya Copenhagen.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...