Monday, 20 February 2017

Watu Wanaoogopa Kufa Huogopa Pia Kuishi

213. Watu wanaoogopa kufa huogopa pia kuishi.

Ukitaka kuishi usiogope kufa. Kwa maneno mengine, ukitaka kufanikiwa katika maisha yako, usiogope kufa.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...