Sunday 1 January 2017

Rangi ya Mwaka 2017 ni Kijani

Mwaka 2017 ni mwaka wa kutoka. Mungu akikuruhusu kutoka toka kikamilifu. Heri ya Mwaka Mpya na baraka tele!

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...