Tuesday, 8 November 2016

Wazazi Wetu

Wazazi wetu wanajua nini kilitokea kabla na baada ya sisi kuzaliwa! Wanaona mbele ya maisha yetu kwa sababu hata wao wameyapitia.

Wewe na rais wa nchi: Wewe unajua mambo ya mtaa. Rais wa nchi anajua mambo ya nchi. Anayejua mambo usiyoyajua ni wa kuogopa kama ukoma.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...