Tuesday, 31 May 2016

Giliard Malegesi

Pumzika kwa Amani Mpelelezi Giliard Malegesi. Utendaji wako wa kazi uliotukuka serikalini na kanisani utakumbukwa milele. Tunajikabidhi kwa Bwana.

1 comment:

  1. Giliard Malegesi alifariki tarehe 23/5/2016 saa 1 asubuhi kwa ugonjwa wa moyo katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam, na kuzikwa tarehe 26/5/2016 saa 10 jioni mjini Musoma.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...