Monday, 28 December 2015

Watu

153. Watu hawashabikii watu wa kawaida; wanashabikia watu ambao si wa kawaida.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...