Tuesday, 29 December 2015

Maelezo

Nikipokea Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Kiafrika, kwa upande wa Tanzania, kutoka kwa Meneja wa Huduma na Masoko Piyush Nath wa ALAF (kampuni ya mabati ya Tanzania) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo tarehe 17 Desemba 2015! Pamoja nami alikuwepo mshindi wa diwani ya 'Kifaurongo' Christopher Bundala Budebah; Mkuu wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt Edith Lyimo; Profesa Aldin Mutembei; wafanyakazi wa ALAF, na waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...