Tuesday, 15 December 2015

Washindi


Enock Maregesi na Anna Samwel Manyanza katika Klabu ya Capital, Westlands, Nairobi, baada ya kupokea Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Kiafrika. Anna ni Mtanzania anayeishi Bern nchini Uswisi.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com

1 comment:

  1. Anna ameandika riwaya ya mapenzi inaitwa PENZI LA DAMU. Mimi nimeandika riwaya ya kijasusi inaitwa KOLONIA SANTITA.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...