Monday, 9 November 2015

Dunia

2 comments:

  1. Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.

    ReplyDelete
  2. Dhana ya DUNIA NI KIJIJI KIMOJA ni dhana murua ijapokuwa inaweza kuwa na matatizo yake hali kadhalika. Popote ulipo ndipo dunia yako ilipo. Hivyo, ukipabadilisha hapo (au ukibadilikia hapo) umebadilisha dunia (au umeleta mabadiliko katika dunia).

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...