Monday, 16 November 2015

Wazazi

2 comments:

  1. Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu chochote. Wanaweza kuona tusipoweza kuona – nyuma na mbele ya tarehe zetu za kuzaliwa.

    ReplyDelete
  2. Wazazi wetu wanajua nini kilitokea kabla na baada ya sisi kuzaliwa! Wanaona mbele ya maisha yetu kwa sababu hata wao wameyapitia.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...