Riwaya ya Kiswahili ya kijasusi kutoka kwa Maregesi.
Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.
Watu hawakuheshimu eti kwa sababu wewe ni mkurugenzi wa kampuni fulani au unatoka katika familia ya watu wakubwa. Wanaheshimu tabia.
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.
ReplyDeleteWatu hawakuheshimu eti kwa sababu wewe ni mkurugenzi wa kampuni fulani au unatoka katika familia ya watu wakubwa. Wanaheshimu tabia.
ReplyDelete