Monday, 12 October 2015

Las Vegas


3 comments:

  1. Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika maisha, fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa hubakia hapa.

    ReplyDelete
  2. Panthera Tigrisi akimpiga mkwara John Murphy katika kasri la Benson Bennett la Salina Cruz, Oaxaca, nchini Meksiko. Badala ya kufumba macho kwa kuyakodoa, John Murphy alifumbua macho kwa kuyakodoa.

    ReplyDelete
  3. Fumba macho kwa kuyakodoa ni kutunza siri milele. Ulichokiona usikiseme daima maana ukikisema hakika utakufa. Las Vegas ni ofisi ya siri ya El Tigre. Kilichofanyika pale kilibakia pale.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...