Monday, 5 October 2015

Tabia

2 comments:

  1. Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.

    ReplyDelete
  2. Watu hawakuheshimu eti kwa sababu wewe ni mkurugenzi wa kampuni fulani au unatoka katika familia ya watu wakubwa. Wanaheshimu tabia.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...