Monday, 20 July 2015

Mizimu

146. Afrika imekaliwa na mizimu. Wazungu hawataweza kumaliza mali ya Afrika. Mali ya Afrika ni ya Waafrika wenyewe. Itamalizwa na sisi wenyewe.

http://www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Afrika isomeshe watu wake, na itumie vizuri mapato yanayotokana na mauzo ya rasilimali zake kwa faida ya jumla ya wananchi wa nchi zake, kusudi baadaye wawe wataalamu wa rasilimali za nchi zao wenyewe, kuepukana na utumwa wa rasilimali. Rasilimali za Afrika zina miiko na masharti yake.

    ReplyDelete
  2. "Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa Majeshi." -Hagai 2:8

    ReplyDelete
  3. Dunia yote ni mali ya Bwana. Mali inayotokana na mashetani na mizimu haidumu, ni ya muda mfupi.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...