Afrika isomeshe watu wake, na itumie vizuri mapato yanayotokana na mauzo ya rasilimali zake kwa faida ya jumla ya wananchi wa nchi zake, kusudi baadaye wawe wataalamu wa rasilimali za nchi zao wenyewe, kuepukana na utumwa wa rasilimali. Rasilimali za Afrika zina miiko na masharti yake.

ReplyDelete"Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa Majeshi." -Hagai 2:8
ReplyDeleteDunia yote ni mali ya Bwana. Mali inayotokana na mashetani na mizimu haidumu, ni ya muda mfupi.
ReplyDelete