Monday, 24 November 2014

Ukarimu

112. Ukarimu ni bora kuliko hekima, na kulitambua hilo ndiyo mwanzo wa hekima.

http://www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Watu hubariki wenzao ambao ni wakarimu, na hulaani wenzao ambao ni wabahili. Ukiwa mkarimu kwa watu umekopa neema kutoka kwa Mungu, na Mungu atakulipa kutokana na matendo yako.

    ReplyDelete
  2. Hekima bila ukarimu si hekima hata kidogo.

    ReplyDelete
  3. If you have the habit of giving without expecting anything
    in return then you are a generous person. Generosity can involve offering time, assets or talents to aid someone in need.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...