Thursday, 4 December 2014

Aquavit

Kinywaji kikali cha asili chenye ladha ya viungo na mitishamba cha Skandinavia, 'Aquavit' au 'Akvavit', kilichotumika katika kitabu cha KOLONIA SANTITA kuwaburudisha Vijana wa Tume nyumbani kwa Frederik Mogens, Hellerup, Copenhagen.

http://www.enockmaregesi.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...