105. Kufanikiwa katika maisha lazima usimamiwe na nguvu za nuru au nguvu za giza. Kama ni nuru lazima ubobee katika nuru. Kama ni giza lazima ubobee katika giza.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha – na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.
ReplyDeleteKufanikiwa kama Mungu anavyotaka ndiyo maana halisi ya maisha yako hapa duniani – si kama Shetani anavyotaka.
ReplyDelete