Monday, 6 October 2014

Nuru

105. Kufanikiwa katika maisha lazima usimamiwe na nguvu za nuru au nguvu za giza. Kama ni nuru lazima ubobee katika nuru. Kama ni giza lazima ubobee katika giza.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha – na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.

    ReplyDelete
  2. Kufanikiwa kama Mungu anavyotaka ndiyo maana halisi ya maisha yako hapa duniani – si kama Shetani anavyotaka.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...