Friday, 13 June 2014

BMW

Gari la John Murphy aina ya BMW (Bayerische Motoren Werke) 850i alilonunua nchini Ujerumani mwaka 1992. Gari hilo ndicho kitu cha kwanza kilichomshtua kachero wa Kolonia Santita Giovanna Garcia kabla hajaonana na John Murphy uso kwa uso katika ofisi za Kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia, Mtaa wa Samora, Dar es Salaam.

http://www.enockmaregesi.com

2 comments:

  1. Gari la John Murphy linaonekana kwa mara ya kwanza katika ukurasa wa 39 wa Kolonia Santita.

    ReplyDelete
  2. Gari la John Murphy linaonekana katika kurasa za 39, 122, 126 na 127 za Kolonia Santita.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...