Monday, 12 May 2014

Fedha

84. Wanaume hujiua kwa sababu ya fedha. Wanawake hujiua kwa sababu ya mapenzi.
 


3 comments:

  1. Wanaume hujiua kwa sababu ya fedha. Wanawake hujiua kwa sababu ya mapenzi. Wanaume wengi hujiua kwa sababu ya pesa: wanawake wengi hujiua kwa sababu ya mapenzi. Hata hivyo, kujiua ni ubinafsi kwa sababu ya watu wanaokupenda.

    ReplyDelete
  2. Falsafa ya Fedha inamhusu Panthera Tigrisi (au El Tigre). Hapo alikuwa akitoa wosia kwa makamanda wake wa kiume akimaanisha kwamba, wanaume wanapaswa kujiua kwa sababu ya fedha na si kwa sababu ya kitu kingine chochote kile.

    ReplyDelete
  3. Wanaume wanaojiua kwa sababu ya mapenzi ni wanawake; wanawake wanaojiua kwa sababu ya fedha ni wanaume. – Panthera Tigrisi

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...