Sunday, 20 April 2014

Pasaka

Ikiwa kuna tumaini kwa mti uliokatwa kuweza kuchipua tena ni lipi kubwa linaloweza kukukatisha tamaa na kuua matumaini ya siku njema zijazo? Palilia ndoto zako kwa imani na kila wakati jione uliumbwa uwe mshindi kwa jina la YESU. Nakutakia Pasaka njema, Baraka, Amani, Furaha na Ushindi katika Damu ya Yesu. Uwe hodari na moyo wa ushujaa! – Mary James Magacha

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...