70. Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Kuna sababu ya msingi inayoleta tofauti kati ya madaraja ya mafanikio miongoni mwa maazimio ya watu. Sababu hiyo ni mazoea ya utunzaji wa siri. Zipo sababu nyingi zinazofanya watu wenye uwezo wa kutunza siri wafanikiwe zaidi kuliko watu wasiokuwa na uwezo wa kutunza siri. Hiki ni kitu ambacho watu wengi hawakijui. Unapotambua sababu ya siri kuwezesha mafanikio ya maazimio ya watu, unaweza kuwa na uwezo au weledi wa kutosha juu ya mafanikio yako. Viongozi wa Kolonia Santita katika enzi zao walifanya kazi katika mazingira ya siri kubwa! Bila hivyo wangeshakamatwa siku nyingi wote; na hata wale viongozi wa serikali waliyokuwemo ndani ya Mpango wa Fadhila ya Uhalifu wa Kolonia Santita – mpango wa viongozi wa serikali ya Meksiko kuwasaidia wahalifu pindi wanapoanguka katika mikono ya sheria na kutetea shughuli zao zote za kihalifu kwa malipo ya bima ya utekaji nyara ya familia zao – wangeshakamatwa pia.
ReplyDelete