Monday, 7 October 2013

Tumaini

53. Tumaini lina nguvu kuliko woga.

http://www.facebook.com/koloniasantita

5 comments:

  1. Tumaini lina nguvu kuliko woga… Usisimame. Endelea kutembea.

    ReplyDelete
  2. Ukiwa mwoga hutaweza kujaribu. Ukiwa na tumaini utaweza kujaribu. Penye nia pana njia, wahenga walisema. Ukikutana na simba porini kwa mfano, utakimbia au utasimama? Bora usimame kuliko kukimbia; ukitegemea Mungu atakusaidia. Ukiwa na tumaini hutakuwa mwoga. Tumaini ni injini ya imani...

    ReplyDelete
  3. Ukiwa na hope utaishi kwa amani kidogo kuliko kutokuw ana hope kabisa,ni jambo zuri kuwa na tumaini.

    ReplyDelete
  4. we all need to hope in theLord for He brings all good to us and blesses us in so many ways

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...