Thursday, 24 October 2013

St Germain

St Germain Boulevard, Paris.
Makao makuu ya CS-Paris – Tawi la Kolonia Santita Ufaransa na nchi zote za Ulaya ya Magharibi na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Hispania, Ureno, Italia, Korasia na Romania – mipango ya kifo cha Murphy ilipofanyika, nyumbani kwa Roger Prideaux, karibu na ukingo wa kushoto wa Mto Seine (La Sorbonne) na kanisa kongwe kuliko yote Paris la Saint Germain-des-Pres.

http://www.enockmaregesi.com

3 comments:

  1. Adui mkubwa wa Kolonia Santita ni John Murphy Ambilikile, they will do anything to get him!!!

    ReplyDelete
  2. CS-Paris na CS-Copenhagen ni magenge yaliyoshindikana ya Bara la Ulaya.

    ReplyDelete
  3. CS-Paris ni tawi la Kolonia Santita la Ufaransa na nchi zote za Ulaya ya Magharibi (kama Ubelgiji, Austria, Lishenteni, Lasembagi, Monaco na Uholanzi) na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Hispania, Ureno, Italia, Korasia na Romania. Linaongozwa na Gaston Pierre Bastarache, 'The Circuit', na mpenzi wake Bernadette 'Dirty Bee' Kirouac Santere.

    Makao makuu ya CS-Paris ni St Germain Boulevard Paris, nyumbani kwa jambazi wa Kolonia Santita aliyeangusha ndege ya Air France 279 kwa bomu la masaa Roger Prideaux, karibu na ukingo wa kushoto wa Mto Seine (La Sorbonne, Chuo Kikuu cha Paris) na kanisa kongwe kuliko yote mjini Paris la Saint Germain-des-Pres. Hapo mipango yote ya kumuua Murphy ilifanyika kwa msaada wa jasusi wa kike aliyekwenda Tanzania kumpeleleza John Murphy lakini akaishia patupu – Delfina Moore – na kwa msaada wa vifaa vya kutengenezea mabomu kama vile redio (Toshiba RT-SF 16 ya spika moja), sanduku, vyuma, nyaya, baruti, saa, n.k., vitambulisho na silaha kadha wa kadha za kujiendesha zenyewe.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...