Monday, 21 October 2013

Badilisha

55. Usipobadilisha maisha yako maisha yako yatakubadilisha.

http://www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. Badilisha tabia. Badilisha mazingira ya maisha yako. Haijalishi una umri kiasi gani au wewe ni mwanamke au mwanamume, bado hujachelewa kubadili maisha yako kutoka duni kuwa bora – kuwa na amani, furaha na kuridhika. Kama desturi yako ni kuamka saa 12:00 asubuhi kila siku ili ufike kazini saa 2:00 asubuhi ambao ni muda wa serikali wa kuanza kazi, amka saa 11:30 asubuhi ili ufike kazini saa 1:30 asubuhi – nusu saa kabla ya kuanza kazi. Kama unafanya kazi ya taaluma uliyosomea lakini maisha hayaendi, fikiria kubadili mwelekeo wa maisha ikiwemo taaluma kufikia malengo uliyojiwekea.

    ReplyDelete
  2. Pesa usipoipangia matumizi, yenyewe itajipangia matumizi. – Malegesi Alphonce

    ReplyDelete
  3. life is about everyday struggle towards ones goals.

    ReplyDelete
  4. Kuishi maisha mazuri lazima uhangaike..... maisha sio lelemama!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...