42. "Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?"
"Nitajibu."
"Usipojibu?"
"Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa.
"Utanifanya chochote utakachotaka."
"Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.
http//www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Chaika (jambazi sugu wa CS-Moscow, Tawi la Kolonia Santita Nchini Urusi na nchi za Ulaya ya Mashariki kama Belarusi, Moldova na Ukraini na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Masedonia, Montenegro, Uturuki na Ugiriki) akipigwa mkwara na John Murphy katika 'dacha' (nyumba ya nje ya mji) ya Kolonia Santita huko Miklukho-Maklaya, nje ya Moscow, karibu na Uwanja wa Olimpiki wa Lenin na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba.
ReplyDeleteNi kweli Murphy hakumuelewa Chaika au alimuelewa?
ReplyDeleteChaika ni mwanaume na pinki ni rangi ya kike.
ReplyDeleteNingekuwa mimi nisingejibu!
ReplyDelete