Monday, 22 July 2013

Chaika

42. "Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?"
 "Nitajibu."
 "Usipojibu?"
 "Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa.
 "Utanifanya chochote utakachotaka."
 "Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.

http//www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. Chaika (jambazi sugu wa CS-Moscow, Tawi la Kolonia Santita Nchini Urusi na nchi za Ulaya ya Mashariki kama Belarusi, Moldova na Ukraini na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Masedonia, Montenegro, Uturuki na Ugiriki) akipigwa mkwara na John Murphy katika 'dacha' (nyumba ya nje ya mji) ya Kolonia Santita huko Miklukho-Maklaya, nje ya Moscow, karibu na Uwanja wa Olimpiki wa Lenin na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli Murphy hakumuelewa Chaika au alimuelewa?

    ReplyDelete
  3. Chaika ni mwanaume na pinki ni rangi ya kike.

    ReplyDelete
  4. Ningekuwa mimi nisingejibu!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...