Monday, 17 June 2013

Fikiri

37. Fikiria kwanza maana ya unachosema. Halafu sema.

www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Neno moja kutoka mdomoni mwako linaweza kukuletea madhara makubwa. Fikiria kwanza maana ya kitu unachofikiria (ambacho tayari umekisema kichwani mwako) kabla ya kukisema tena mdomoni mwako. Wenye hekima huzungumza kwa sababu wana kitu cha kuzungumza. Wapumbavu hubwabwaja.

    ReplyDelete
  2. I have nothing but respect for you.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...