Thursday, 6 June 2013

Paris

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Charles de Gaulle - Paris
Ndege ya Murphy (Air France Flight 279 Boeing 747-400) ilinyanyuka Charles de Gaulle saa nne asubuhi kuelekea Copenhagen lakini ikalipuka na kuanguka Sittard, Limburg, Uholanzi; na Selfkant, Heinsburg, Westphalia ya Rhine ya Kaskazini, Ujerumani; na kuua watu wote – maili 215 kutoka Paris.


http//www.enockmaregesi.com

4 comments:

  1. Hadithi ya Kolonia Santita ni ya kubuni haina uhusiano wowote na uhalisia isipokuwa maeneo na baadhi ya taasisi za kimataifa. Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle ulikuwa umedhibitiwa vikali na CS-Paris (Tawi la Kolonia Santita Ufaransa na nchi zote za Ulaya ya Magharibi) wakati ndege ya Murphy inatua na kuondoka uwanjani hapo.

    ReplyDelete
  2. CS-Paris na CS-Copenhagen nani zaidi? Maana CS-Paris waliangusha ndege ya Ufaransa ambalo ni tukio kubwa lakini vilevile CS-Copenhagen waliitawala Tume ya Dunia?? Na je, hiyo ndege inafanana na ndege aliyotumia Kamanda??

    ReplyDelete
  3. cjapenda vile cs-paris walivyofanya kwa ndege ya jon murphy wanastahili kunyongwa

    ReplyDelete
  4. CS-Copenhagen ni zaidi ya CS-Paris kwani CS-Copenhagen ni tawi kubwa kuliko matawi yote saba ya Kolonia Santita na ndio maana linadhibitiwa na tume ya dunia na kanda ya Ulaya kwa pamoja.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...